Kutoka Facebook

Nimeipenda sana hii picha, as you know dads are girl’s best friend! “Mtu kwao” Ni maneno aliyosema Miriam Odemba katika picha hii ambayo yupo na baba yake. Miriam hivi karibuni alikwenda kijini kwao Buturi, wilaya ya Rorya, mkowa wa Mara. Nia na madhumuni yalikuwa ni kumsalimu na pia kuhani msiba wa bibi yake mzaa baba yake. Pole sana Miriam, na bibi apumzike kwa amani. Miriam Odemba and her dad

Leave a Reply