alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Nimependa sana hii picha ya beautiful Anna Nyaronga. Ooh! No! Ngoja nimpe heshima yake kwa kutumia jina lake jipya ambalo anatumia Mrs. Anna Hanson Kilango. Anna mdogo wangu, wewe ni mmoja ya watu wanao ni inspire sana. Such a strong young lady I've ever met! Mungu a kubadiriki sana, upendo, amani, na furaha vidumu katika ndoa yenu. Mbarikiwe sana. Love you!
Alpha Igogo