alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Leo kutoka Facebook nimeamua kuwarusha mama zangu :) Pichani juu ☝ ni mama yangu mzazi na chini 👇 ni mdogo wake ambaye ni kitinda mimba wa bibi yangu mzaa mama (last born from maternal grandma). Naomba nisisitize kwamba huyu mama yangu mdogo ni last born kwa tumbo la bibi mzaa mama lakini siyo mtoto wa mwisho wa familia kwani babu
Alpha Igogo