alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Jeshi la mutu tatu :) nawapenda sana hawa watoto, ni watoto wa mama na baba watatu. Yani huwa naangalia videos ambazo mama yao huwa anapost Facebook yani hadi raha watoto watiifu wanamsikiliza mama yao inafurahisha kwakweli. Halafu wanakwaya yao huwa wanaimba kanisani wote watatu na mama yao ndio Mwalimu wao :) angalia vilivyo vizuri hadi raha Mungu awalinde sana.
Alpha Igogo