alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Leo ni Jumatatu ndo tumeanza juma lingine la mahangaiko ya kazi na mambo mengine katika jamii. Basi nawaletea hii picha ya mdogo wangu anaye nifuata mara ya pili. Kikazi zaidi ? yeye ni Advocate and certified Government Arbitrator.................haya muwe na week njema.
Alpha Igogo