alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Nimependa sana hii picha ya Tabu Obago. Huyu ni binamu yangu binti wa marehemu shangazi yangu. Navivile tuliishi wote ndani ya himaya ya mzee Igogo. Nampenda sanaaaaaa! Usije ukakosea ukanichokoza nitakusemea kwake atakukuchambuaje sasaa? ?? Yani atakunyambua kama mchicha vile utajuta kwanini ulinichokoza?? halafu yeye anachanganya Kiswahili, Kijaluo, na English mtamkoma ??? Jana tulikuwa tuna text akaniambia kuna
Alpha Igogo