alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Nimependa sana hii picha ya Mr and Mrs James Chanda. Wamependeza sana. BTW, James ni kaka ambaye tumefahamiana kwa miaka mingi sana. Tulikutana mara ya kwanza Buttler Community College, Andover, Kansas. Nikiwa nasubiria ride from my cousin brother China Igogo naye alikuwa anasubiri kuona adviser basi katika kuongea ndiyo tukajuana wote wa Tanzania na pia wanafahamiana sana na kaka yangu. Basi
Alpha Igogo