alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Dada Tuma katika ubora wake ? kapendeza sana na vazi lake la kitenge, love the shoes. Hapa alikuwa yupo teyari kwenda kumsifu na kumtukuza Muumba wake siku ya Sabato. Ubarikiwe sana dada yangu.
Alpha Igogo