alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Nimezipenda hizi picha za mdogo wangu anaitwa Magreth. Hapa ni nyumbani kwa mdogo wangu mwingine tunamwita Mzee William. Naona dada alikuwa ameenda kusalimia mdogo wake. Nimependa mazingira pamoja na mwenye picha ?
Alpha Igogo