alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Nimependa sana hizi picha za da Eddah Gachuma toka DMV! Hapa alikuwa amekwenda kumuangalia mwanae akicheza mpira. Kijana wake anavaa number 88 ndo maana unaona naye kavaa hiyo number! As I said to you da Eddah usinisahau kwenye ule mgao wa paycheck ?? mbarikiwe sana wapendwa, Mungu amlinde, na amuongoze afike mbali zaidi ya hapo. Amen!
Alpha Igogo