alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha pamoja na ujumbe wake. Si mwingine bali ni mama Melanie a.k.a muke ya Muchaga! Usikubali Kuanguka au kukatishwa Tamaa. Mtoto wakike Jiamini na uwe Jasiri. Usitegemee mtu maana hata kivuli chako siku ya mwisho kinakuacha. Nguvu zako ndio mafanikio yako katika maisha. Usawa wa mwanamke upo kwa mwanamke. Acha kulia lia nakulamba watu miguu.
Alpha Igogo