alphaigogo.com
The Manongis’ - alphaigogo.com
Baba na mama Manongi, wamependeza sana, isn't love a great thing! Siku zote nitawashukuru kwa upendo na ukarimu wenu hii familia. Nashukuru kwa kusimama nami hata pale inapobidi familia kugawanyika. Mimi ninani hata mnitendee haya yote?! Mbarikiwe sana wapendwa, sina cha kuwalipa zaidi ya Asante!brotherhood! Mbarikiwe sanaaaaaa kaka zangu!
Alpha Igogo