alphaigogo.com
Kwa wazazi mlioko Dar tafadhali usikose #Mtoto Day Out - alphaigogo.com
EVENT: Mtoto Day Out.. TAREHE: 9/7/2017 MAHALI: Msasani Beach Club (kawe jeshini) UMRI: 1_13 MUDA: Saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. KIINGILIO: Mtoto Tsh 5,000 mzazi bure. Imedhamimiwa na @nmbtanzania kupitia mtoto akaunti. Imeandaliwa na Dina Marios kupitia Mtoto Events. Mtoto day out.........Ni bonge la outing kwa mtoto wako.Michezo mbalimbali ya watoto,zawadi mbalimbali zitatolewa kwa watoto,mashindano ya kuchora,kupaka rangi,kucheza,kujibu
Alpha Igogo