alphaigogo.com
Kwaheri ya kuonana mama Salma Kikwete! - alphaigogo.com
Kwaheri mama Salma Kikwete. Asante sana mama yetu kwa kuliwakilisha vyema taifa letu na wanawake wa Kitanzania kwa ujumla. Umekuwa mfano bora kwa wanamama wenzio, wanawake wadogo, na mabinti zetu ndani na nje ya Tanzania. Sisi hatuna chakukulipa zaidi ya kusema asante sana mama. Kazi umefanya vizuri na sasa tunakutakia mapunziko mema. Wewe ulikuwa mama ambaye hauna makuu, hauna makeke wala
Alpha Igogo