alphaigogo.com
“Lakini nilikuwa nahudhuria sana wakati wa makambi” ~~ Rais Dr. John Pombe Magufuli - alphaigogo.com
https://youtu.be/8q4UluIaoUE Siku ya jana September 2, 2017 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli pamoja na mkewake mama Janeth Magufuli walishiriki ibada pamoja na waumini wengine wa kanisa la Wasabato Magomeni, Dar es salaam, Tanzani. Rais aliongea machache na kutoa mchango wake wa kumalizia ujenzi wa kanisa hilo kama hiyo ☝ video inavyo onyesha pia
Alpha Igogo