alphaigogo.com
Late post: Neema’s night - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwiye radhi. Hili tukio lilitokea mwaka jana November 20-15. Lakini kutoka na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu naomba niziweke hapa siku ya leo kwa heshima ya Neema, mumewe, ndugu, jamaa, na marafiki wote. Here comes the soon to be Mrs Huckins and our beloved
Alpha Igogo