alphaigogo.com
lazima tusimame na kusema, tulinde na kutetea wanyama!….Join the march for elephants and rhinos 2017! - alphaigogo.com
Tafadhali Watanzania wote wakubwa kwa wadogo, ungana na mabalozi wa wanyama katika matembezi makubwa yatakayo fanyika mapema mwaka huu kupinga ukatili wanaofanyiwa wanyama haswa Tembo na Faru! Hatuwezi fumbia macho issue ya Faru John na wengine wengi ambao wamefanyiwa ukatili na unyama wa hali ya juu na hawa majangili na waujumu uchumi!! Hawa wanyawa siyo tu fahari yetu bali ni
Alpha Igogo