At least Jacqueline Mengi agrees with me!

Screenshot_2016-06-17-08-43-50-1Napenda kuona wadada wanao jitambua kuongea vitu kwa uwazi! Hilo swala nimeliongelea hapa juzi tuu (soma hapa), na leo kuona Jacqueline naye analiongelea nimependa sana! Nivizuri kuwafundisha hawa wadogo zetu wakike na wakiume  wajue kuwa UTU ni kitu cha thamani sana kuliko muonekano wa nje! Screenshot_2016-06-17-08-43-58-1Yani, mimi huwa nikishamjua mtu ana roho fulani ya ‘kishetani’ hata kama anaelimu ya darasa gani huwa namdharau sana! Hata kama wewe ni mzuri na una maendeleo lakini roho yako ni mbaya, mchonganishi, mnafiki mzushi, unachukia kuona wengine wana furaha kwakweli mimi mtu kama huyo huwa namshusha thamani, nakama nakufahamu basi nitakuonyesha dharau LIVE! Sijuwagi “kushobokea” watu wenye roho za kwanini!….. Asante Jacqueline Mengi kwa kuliona hili. Mfano nzuri sana wa kuigwa!…..and you look so beautiful!……….please tembelea blog /website ya Jacqueline kwa jina la www.jnmengi.com

2 thoughts on “At least Jacqueline Mengi agrees with me!”

  1. So True. No matter how beautiful the egg shell looks like, if the York is spoiled, you will never eat it.

Leave a Reply