alphaigogo.com
LeMutuz umesema kweli lakini…………..! - alphaigogo.com
LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of growing up process historia inatakiwa kuwa @diamondplatnumz ndiye Mtanzania wa kwanza kuandika mafanikio makubwa ya music kuliko Wanamuziki wote wa Taifa hili walio hai na wasiokuwa hilo by FACTS halina ubishi ...leo ninaomba kuwakumbusha WaTanzania wenzangu kwamba kuna wakati tunakosea sana tunapomuhukumu huyu kijana mdogo kwa mapungufu yake huwa tunasahau kuwa ni Kijana
Alpha Igogo