alphaigogo.com
LeMutuz: vijana wadogo sana wanaojaribu kutafuta muongozo wa maisha nyuma yenu kuna vijana ambao majumbani mwao na familia zao hakuna muongozo bora wa maisha ndio sababu wapo Instagram kujifunza - alphaigogo.com
LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of peace hii picha ni kumbukumbu sana ya siku ya pili ya kuanza kwa mahusiano yao yaani @diamondplatnumz & @zarithebosslady na jana Instagram nzima tumeshuhudia mambo yasiyokuwa ya kiungwana baina yao...my appeal to both of them ni spare us your close friends and your fans cause wote kwa pamoja mna wafuasi Millioni 7 wengi
Alpha Igogo