alphaigogo.com
Let us support Maryam - alphaigogo.com
Nimevutiwa na gukuswa sana na maneno ya #KichunaWaKizaramo hapo juu ☝ ..........Hongera sana Maryam, Mungu akuongoze, akubariki sana, usiishie hapo tuu bali ukawe the next Christian Amanpour! Wow! Mama akiwa beneti kabisa na binti yake, kwa support na upendo wa mzazi. Hongera sana Linda kwa kuwa mama mwema. Wapendwa wasomaji wangu, nawaombeni tum-support mtoto wetu. Maryam pia yeye amejaliwa kipaji cha ushonaji, na
Alpha Igogo