alphaigogo.com
LETS CHANGE OUR EDUCATION SYSTEM! – le Mutuz - alphaigogo.com
LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of Ugly FACT ni kwamba 80% ya Vijana wetu wenye Degree HAWANA UJUZI WA KUAJIRIWA PAMOJA NA KUWA NA GPA KUBWA ni ukweli mchungu ambao kama Taifa tunahitaji kutafakari as JE KUNA MAHALI TULIKOSEA? au HATUJAWAHI KUPATIA KABISA!........ninakumbuka siku moja niliwaambia Wanafunzi wa Marketing pale UDSM kuwa kama wapo waliopo Mwaka wa Pili na hawana
Alpha Igogo