alphaigogo.com
Life has more to offer than just slaying ~~~~~ Akothee Akothee - alphaigogo.com
Mwanamuziki toka Kenya Akothee Akothee, anasema hivi mjengee msingi mzuri wa maisha mtoto / watoto wako ili wawe na manufaa baadaye katika maisha yao! Maisha yanatoa maana nyingi zaidi ya kujipondoa tu! Mfundishe mwanao kupika, kufanya usafi, kuheshimu watu, jinsi ya kutumia na kutafuta pesa n.k Kuna wazazi wengine wamegeuza watoto kama toys! Yani ni kujiremba na fashion za nguo
Alpha Igogo