alphaigogo.com
Linda Bezuidenhout machoni pangu mimi! - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu. Niliahidi wiki hii nitamzungumzia mwanamitindo wetu maarufu anayetamba katika anga za kimataifa Ms Linda Bezuidenhout. Napia nini msimamo wangu juu ya kile kinacho onekana kama maugomvi katika social media! Naomba kwanza muelewa kuwa mambo ya campaign yameisha, sasa tunarudi katika maisha yetu yakawaida. Wakati wa campaign mimi na Linda tulikuwa tumesimama pande mbili tofauti. Linda yeye ni
Alpha Igogo