“Through that loss it’s also possible to find yourself” -Iyanla Vanzat

Screenshot_2016-08-30-13-16-12-1FB_IMG_1472436063790Ujumbe mfupi lakini ni mzito sana! “In this journey called life, it is possible to lose everything. Through that loss it’s also possible to find yourself”!!…………. Watu wengi (including myself) tunapoteza muda mwingi kuwaza kwanini hiki kinatokea kwangu? au kwanini hawa watu wananitenda hivi? Badala ya kufikiria ni nini natakiwa nijifunze katika hili lililo nikuta?? ………. Wiki iliyopita kuna rafiki yangu wa muda mrefu sana. Tunaheshimiana sana na huwa  I considered him as a “brother figure” to me, baada ya jitihada nyingi za kunitafuta alifanikiwa kunipata wiki iliyopita na tukaongea kwa simu. Moja ya swali alioniuliza ni mbona nime keep a distance from him! Nikamwambia nimesikia mara nyingi kutoka kwa wahenga kuwa ukitaka kuwa imara basi jifunze kusimama mwenyewe!! Nikamwambia nahitaji kuwa imara ili niweze kusonga mbele na kufikia kile ninacho kiamini kuwa ni ndoto zangu! Akanishangaa!!…… Anyway, ninachotaka kusema ni kwamba; katika safari hii ya kutaka kufanikisha ndoto zangu nimekutana na vikwazo vingi sana toka kwa ndugu wa karibu pamoja na wale niliyo amini kuwa ni marafiki zangu! Nime kuwa betrayed multiple times na watu ambao hata sikuweza wafikiria kuwa wangeweza fanya hivyo! Katika safari hii ya kutaka kutimiza ndoto zangu nimepoteza marafiki wengi sana!! Nimetumia muda mwingi sana tena sana KULIA NA KUJITIA! Kutwa nilikuwa najiuliza kwanini? And why me?! Lakini namshukuru sana Mungu kwani katika kulia huko na hali ya kukata tamaa akanipatia nguvu za kusonga mbele. Katika hali hiyo hiyo ya kulia na kuhuzunika I found my own strength!!! Kitu ambacho hapo mwanzo sikudhania kuwa ninacho! Nilikuwa nategemea sana tena sana emotional support ya familia, ndugu, na marafiki kama my strength!! Bila kujua kuwa hata familia yako wakati mwingine inaweza isisimame nawe vitani!!! Bila kuwaza kuwa hata ndugu zako wanaweza kuwa maadui zako!! Bila kufahamu yakuwa watu wengi tumezungwa na maadui wengi waliopo karibu yetu chini ya mwanvuli ujulikanao kama “close friends”!!……….. Katika changamoto hizi ambazo nimepitia I found myself!! Nimejifunza kuwa ni kweli you don’t need a crowd of people to be happy!! “In this journey called life, it’s possible to lose everything. Through that loss it’s also possible to find yourself”!!…….. Vipi wewe mwenzangu, have you found yourself au bado unaangaika na the feeling yakutaka kuwa accepted na watu ambao wana ku- betray na kukuzibia mibaraka yako ambayo Mungu anataka kukubariki nayo?!! Tafakari!!

Leave a Reply