alphaigogo.com
Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog - alphaigogo.com
Najua mimi na wewe tunafamiana toka tukiwa wadogo lakini kwa faida ya wasomaji naomba ujitambulishe majina yako halisi: Asante, mimi ninaitwa Mahmoud Ramadhan Zubeiry, mtaani walizoea kuniita Mudi Unaweza ukatuelezea kidogo kuhusu elimu yako? Shule ya msingi nilisoma pale Mgulani, baadaye nikaenada Rutabio sekondari kabla ya kufanya kozi mbili za awali za Uandishi wa Habari MAMET (Maarifa Media Trust), chuo ambacho
Alpha Igogo