alphaigogo.com
Mahojiano maalum: Zawadi Kakoschke - alphaigogo.com
Naomba utueleze Historia yako kwa ufupi:Naitwa Zawadi Owitti Kakoschke. Mama wa watoto wawili Amani na Malaika na mke wa Bart Kakoschke. Nimezaliwa miaka 39 iliyopita huko Songea, Tanzania. Ni mtoto wa pili wa marehemu Fatuma ambae anatokea mkoani Iringa. Mimi ni mjaluo baba yangu anatokea Shirati Rorya mkoani Mara. Kwa sasa makazi yangu yako kwenye nchi za kiarabu ambapo mume wangu
Alpha Igogo