Maisha ni nini?!

“Maisha ni nin? Swali hili limekuwa na utata na kuusumbua ulimwengu ni nini maana ya maisha; je! maisha ni kuwa na mume mwenye pesa nyingi? Je!maisha ni kuwa mke mzuri? Je! maisha ni kuwa na nyumba au gari nzuri? Je! maisha ni kuwa na marafiki wengi? Je! maisha ni kuwa na watoto? au je! maisha ni kuwa na kazi nzuri inayokupa heshima? Maswali haya yote ni sawa na bure maana watu wamekuwa na vyote hivyo na bado hawaelewi ni nini maana ya maisha! Maisha ni kutambua kuwa kuna Mungu na kukubali kuisikiliza sauti yake, kukubali kuwa yeye ametukomboa katika utumwa wa dhambi. Maisha ni kutambua kuwa miguuni pa Yesu pekee ndio mahali pa usalama Luka 10:38-42″ 

Leave a Reply