alphaigogo.com
MAJI NI UHAI! - alphaigogo.com
Kama picha hii inavyoashiria, hardhi bila maji hunyauka na kupasuka. Karibu asilimia 60 hadi 75% ya mwili wa binadamu, imetawaliwa na maji. Japo kiwango cha maji hutofautina kutokana na umri au maumbile mwili uliokosa maji ni tisho kubwa la uhai. Je Wajua Yafuatayo? FAIDA ZA MAJI MWILINI Kurahisisha usagaji wa chakula na upataji wa choo Kupunguza hatari za kupata mawe kwenye figo Kupunguza maumivu
Alpha Igogo