alphaigogo.com
Malaika’s 8th birthday party! - alphaigogo.com
Mwishoni mwa mwezi ulio pita Malaika Kakoschke alitimiza miaka 8 ya kuzaliwa kwake. Na hivi ndivyo alivyo sherekea pamoja na marafiki zake...........Mama Malaika akiwa busy kabisa kuwa entertain marafiki wa Malaika. Lovely! kwa picha nyingi nzuri zaidi tembelea www.maisafari.com........kusoma post ya birthday wishes bonyeza hapa ................Happy birthday girl , you such a gorgeous daughter!
Alpha Igogo