alphaigogo.com
Mama na mwana: Hakika wema na fadhili zako zitanifuata siku zote za maisha yangu! - alphaigogo.com
Ni kwa neema tu! Nasema ni kwa neema yake Mungu kwani akili yangu haikuwai kuwaza kuwa ipo siku kama hii! Hivyo namshukuru sana Mungu kwani ni hakika wema na fadhili zake zitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitadumu ndani yake! Nimeweza kuona ukuu wa Mungu kwa kufanikisha uumbaji wake! Amenibariki na rafiki wa kweli ambaye upendo wetu utadumu milele
Alpha Igogo