alphaigogo.com
Mama Salma Kikwete akabidhi kijiti!…….Mama Samia Suluhu awa mlezi mpya wa Girl Guides Association! - alphaigogo.com
Kilikuwa kipindi kizuri na chenye mafanikio kwa wasichana na wanawake kwa muda wote tuliokuwa pamoja na mama yetu Mhe Mama Salma Kikwete kama mlezi wa chama chetu cha Tanzania Girl Guides Association na hatimae leo hii kukabidhi kijiti kwa Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu kama mlezi mpya wa chama. Tunategemea mengi mazuri kutoka kwa Mama Samia hasa katika
Alpha Igogo