alphaigogo.com
Mama Salma Kikwete umekosea sana! Hiyo inaitwa institutionalized discrimination!! - alphaigogo.com
Sipendi kuongelea maswala ya siasa tena kwa hii blog ila kuna mambo ambayo nikiona kuna umuhimu wa kutoa maoni yangu basi nitafanya hivyo. Mama yangu mama Salma Kikwete unajua nakupenda sana. Jambo kuu katika sheria za upendo ni kumwambia mtu ukweli pale anapo kosea. Basi nami naomba nikwambie kuwa mama yangu umekosea sana! https://youtu.be/59MnBSOY8xI Nimesikiliza kwa makini hoja yako juu ya wanafunzi
Alpha Igogo