alphaigogo.com
Mama’s trip to California - alphaigogo.com
Mama yangu pamoja na mama Ruth wakiwa pembezo mwa daraja maharufu sana lijulikanalo kama The Golden Gate bridge huko San Francisco, California Na hapa wapo kwenye mtaa mzuri uliotengenezwa kwa ustadi wa maua mazuri sana ujulikanalo kama Lombard street huko huko San Francisco, California Kutoka kushoto ni Mama Otto, mama Igogo, mama Suleman Marando, na Mr and Mrs Apindi Adhero ?❤ Marafiki na
Alpha Igogo