alphaigogo.com
Maneno ya hekima! - alphaigogo.com
*WAKATI MWINGINE KATIKA MAISHA* Unahitaji watu watakaokudharau ili ukimbilie kwa Mungu. Unahitaji watu watakaokunyanyasa ili uwe shupavu. Unahitaji watu watakaokwambia HAPANA ili ujifunze kujitegemea au ujifunze namna ya kutatua changamoto zako mwenyewe. Wakati mwingine unahitaji watu wako wa karibu kabisa ambao hukutegemea siku moja watakuacha, na wakuangushe kipindi ulichowahitaji kuliko chote ili ujifunze KUMWAMINI MUNGU na sio mwanadamu. Unahitaji BOSS katili atakayekufukuzisha kazi
Alpha Igogo