alphaigogo.com
Matukio katika picha: Anna Kweka send-off party - alphaigogo.com
Anna Kweka aliingia ukumbini kwa furaha na madaha kabisa.... Nakutakiwa kheri na baraka zote zifuatane nawe katika hii safari mpya ya maisha yako. Mungu akuongoze , ukawe mke mwema, ndoa yako ikajae furaha na amani siku zote! Mbarikiwe sana wewe na mwenza wako ? Kwa kifupi Anna Kweka ni rafiki yake mdogo wangu Magreth mwenye gauni
Alpha Igogo