alphaigogo.com
Matukio katika picha: Hongera Dr. Nai kwa kuvishwa pete ya uchumba! - alphaigogo.com
Hongera sana Dr Nai, nakutakia baraka tele katika safari ya hii ya maisha yako mapya unayo tarajia kuanza. Mungu akutangulie katika kila jambo na mipango yote uliyo nayo! Fundi / designer wako anajua sana ku-designe na kushona nimeangalia nguo zake kadhaa kwakweli ni mtaalam! The Doctors themselves! Pendeza sana.......hongera pia kwa mama Dr. Victoria Kisyombe kwa kule binti na sasa unamuozesha. Mungu
Alpha Igogo