alphaigogo.com
Matukio katika picha: Hongera sana binamu yangu! - alphaigogo.com
Awii! My people! Ndugu zangu mie hawa! Wajukuu wa marehemu bibi yetu Rhoda Olwengo Igogo. A.K.A Nyakanga! Kutoka kushoto ni babysister-Magreth, wifi yangu mkubwa-Anna, binamu yangu mkubwa na mjukuu wa kwanza wa marehemu bibi yangu, the only one daughter of my late aunt Theresia Obworo Igogo, whom also was the only daughter of my late paternal grandma, the one and
Alpha Igogo