alphaigogo.com
Matukio katika picha: Jesse 11th birthday - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mwanetu Jesse! Mungu azidi kukulinda, akuongoze, na azidi kukubariku katika ukuaji wako! Ukawe mtoto mwema sana Wapendwa, naomba niseme kidogo kuhusu undugu wangu Jesse........Bibi yake Jesse mzaa baba ni mtoto wa pili kuzaliwa kwa familia ya mama yangu (familia ya marehemu mzee Cornel Awiti); hivyo Jesse ni mpwa wangu! Siku ya tarehe January 16, 2017 Jesse alitimiza
Alpha Igogo