alphaigogo.com
Matukio katika picha: Oprah Winfrey na timu yake - alphaigogo.com
Nimeipenda hii picha ya Oprah Winfrey na timu yake wakiwa teyari kwenda kushuhudia ufunguzi wa makumbusho ya historia ya watu weusi hapa Marekani! Tukio hilo lilitokea jana mjini Washington D.C. ambapo makumbusho hiyo imejengwa............ Nyuma ya Oprah ni mpenzi wake (30+ yrs boyfriend / lover) Stedman Graham, wajukuu wa Stedman (walio vaa pink, and white dress), Oprah longtime best friend
Alpha Igogo