alphaigogo.com
Matukio katika picha: Rachel’s bridal shower - alphaigogo.com
Zifuatazo ni picha za sherehe ndogo ambayo bibi harusi mtarajiwa Rachel alifanyia na marafiki zake wa karibu pamoja na baadhi ya ndugu zake kama siju yao ya kufurahi pamoja kabla hajala kiapo kitakatifu ambacho siyo tu kitabadilisha cheong chake to Miss to Mrs bali hata majukumu yake pia yatabadilika. Lakini yote ni kwa utukufu wa Bwana. Shere hii ilifanyika nyumbani
Alpha Igogo