alphaigogo.com
Matukio katika picha! - alphaigogo.com
Hizi picha naweka tu ili ufurahishe macho kwani najua saa zingine unahitaji break ya kusoma articles ;) ;) ........ Ni picha zilipigwa kwenye mji wa Beijing, China, kwenye picha nipamoja na Sir O.O. Igogo na binti yake Advocate Janeth Igogo (Mrs Nyagilo), na Mwanasheria Tarimo. Hii ni moja ya board meetings ambazo wanazifanya kila mwaka na wamekuwa wakikutana hivyo kwa
Alpha Igogo