alphaigogo.com
“May we never take our families for granted”- Foster Mbuna Mkapa - alphaigogo.com
Familia ya Mbuna. Mama na wanae .....#Family..... Katika pita pita yangu huko Facebook nilikwenda kuchungulia kwa Foster nikakutana na huu ujumbe juu ya #Family. Ukanigusa sana nikaona ni share nanyi. Nilishawahi sema huko nyuma kuwa mimi ni muumini wa philosophy inayosema 'There's no perfect family on this earth'! Nafurahi kuona Foster naye ni mmoja wa waumini wa hii philosophy. Kila familia ina
Alpha Igogo