alphaigogo.com
Mchele bandia (wa plastic) ndani ya Houston, Texas! - alphaigogo.com
Juzi liliwaletea habari ya Samaki bandia huko London! Sasa leo nawaletea habari ya Mchele bandia ndani ya jiji la Houston, Texas. Inaogopesha kwakweli. Huyu dada anasema alinunua chakula kwa restaurant (sina huwakika kama ni restaurant ya Waafrica au la) lakini alipoenda kuuliza baada ya tukio akaambiwa kuwa Mchele walinunua kwenye Africa store moja ambayo ni mharufu hapa Houston (binafsi siijui
Alpha Igogo