alphaigogo.com
Mgomo wa Madereva na Makondakta - alphaigogo.com
Tumeshuhudia kwa siku mbili mfululizo mgomo ulio fanyanywa inchi zima na madereva pamoja na makondakta; kwa kweli inasikitisha sana. Embu tafakari kama kulikuwa na mgonjwa ambaye pesa zake hazimruhusu kuchukua Taxi hivi si mtu anakufa hivi hivi? https://youtu.be/PeIb3kDSqIc Mimi naamini tabia ya kuto kuheshimu ajira zisizo rasmi ndiyo kunaleta haya matatizo yote. Serikali na Watanzania kwa ujumla wameshindwa kuheshimu na kutambua kua
Alpha Igogo