alphaigogo.com
Mh.Edward Lowassa: Amenifanyia siku yangu kuwa njema sana. He has made my day - alphaigogo.com
Siasa ni sera na itikadi siyo chuki wala uwadui! Wenyewe wenye lugha zao wanasema 'Politics is just a game'! Na hapo ndio mimi nasema tusilazimishane kuupenda au kucheza mchezo huu!! Acha wale wanaopenda siasa wahubiri siasa, wale wanaopenda mambo ya kumtukuza Mungu wahubiri injili ya Mungu, wambea na wadaku wote washinde Facebook na Instagram kufuatilia maisha ya watu!! Kila mtu
Alpha Igogo