alphaigogo.com
“Mimi nimejifunza kutonung’unika sana kwa kila linalotokea”Jacqueline Mengi - alphaigogo.com
Umeshawahi kulia na kusononeka kwa mfano kwasababu ya kukosa maelewano na mwenzi wako mpaka ikapelekea kuachana halafu baada ya muda kupita ukagundua kuwa kilichotokea ilikua ni njia ya kukufungulia mlango mpya wa baraka? Kama binaadamu tungekua tunajifunza kutokana na historia hata kama sio yetu binafsi tungeepusha masikitiko mengi sana. Mimi nimejifunza kutonung'unika sana kwa kila linalotokea maana kila nililoliona ni
Alpha Igogo