alphaigogo.com
Mjumbe hauwawi!..You be the judge! - alphaigogo.com
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM MIKOCHENI 16/03/2016 Ndugu zangu, Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM (maelezo hayo pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa facebook). Nilieleza kwamba CCM imepoteza mwelekeo kwa kuamua kumnyima haki ya kugombea mcha
Alpha Igogo