alphaigogo.com
Mkumbuke Muumba wako - alphaigogo.com
Ujumbe wa leo ni kwamba mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako ukiwa bado unanguvu na muda mwingi sana. Usisubiri mpaka majanga yakukute au use kwenye near death situation ndo uwanze kumtumikia Mungu. Ni jumbe kwetu wote, nashukuru dada yeti kipenzi Shy-Rose ameweza kutukumbusha kwa kutokujikweza mfanikio. Mh. Shy-Rose aliudhuria ibada ya Ijumaa iliyopita alipokuwa mjini Mwanza kwa shughuli za kichama.
Alpha Igogo