alphaigogo.com
Mother and daughter moment - alphaigogo.com
Nimependa sana hii picha ya Linda a.k.a Kichuna Cha Kizaramo ? na binti yake Leyla! Hapa walikuwa katika maandalizi ya kupiga picha za 2015 LB Winter collection. Wamependeza sana. Tafadhali naomba uwafollow kwenye IG kwa majina haya LB_fans page, designer_LB, au ukitaka kununua / kuagiza nguo watembelee hapa. www.lindabezuidenhout.com Asanteni wote»
Alpha Igogo